Wema and Ommy Dimpoz, Hii nayo ni project?

Segito wa Kalenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
609
Reaction score
864
Umuofia kwenu!Eem let mi kujitutumua kuuliza kizungu becoz ze lugha ya taifa iz hard for forenaz.Zis nearby for Wema Sepetu and ze msanii zis Ommy dimpoz iz kukaaje?zey kupiga picha tata zea Sauz Africa now adayz Wat iz goin on??Senkyu.
 
Attachments

  • 1423312706165.jpg
    30.1 KB · Views: 3,983
  • 1423312743004.jpg
    49.5 KB · Views: 3,818
  • 1423312782624.jpg
    35.8 KB · Views: 3,817
Aaagh analo kutaka kushindana na mwanaume aliyrmuacha Mr. Chibu.

Anatuaibisha wanawake, hadi kutafuta msaniii usaidie kupendwa uwiiii makubwa haya....mara atamuacja kusema anaiba nyota yake nae
 
Aaagh analo kutaka kushindana na mwanaume aliyrmuacha Mr. Chibu.

Anatuaibisha wanawake, hadi kutafuta msaniii usaidie kupendwa uwiiii makubwa haya....mara atamuacja kusema anaiba nyota yake nae
Anashindana na Diamond ataweza? ntashangaa kama atakuwa anatembea na Ommy Dimpoz
 
Anashindana na Diamond ataweza? ntashangaa kama atakuwa anatembea na Ommy Dimpoz

Hawezi kumshinda anasahau Chibu ni mwanaume....

Siku hizi yeye na timu yake wana wish mwanaume wa shoka atokee kumtaka. Tabu as anashindwa onyesha babu wake...chezea kutamani pesa.

Kwa Ommy ni hamu zake kutafuta umaarufu au kumtumia kwa picha. Huyo Ommy nae anarusha picha? Nahisi labda ni kideo...maana picha za bathrobe na mwingine tshirt na jeans chini mie nashangaaaaaaaaa. Si zaidi ya kideo au short stay(natumaini nimepatia waitavyo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…