Wema and Ommy Dimpoz, Hii nayo ni project?

Siku hizi na video miziki, mwanamke wa kiswazi lazima achukue nafasi kupiga picha kama vile ni boyfi.
 
Pamoja na kwamba hayo ni maisha yake binafsi ila kiukweli hii ni zaidi ya ujinga. Mwanamke anayejiamini hawezi kujirahisi kwa mwanaume eti ili amkomoe mwanaume wake walieachana.

Si bora hata wangeachana kwa hili au lile. Yeye w ndio alimuacha aliona Chibu hana faida kwake. Wapambe wakaanza kutangaza kabka hata mwenyewe hajamuacha...mfata ushauri wa kila mtu now kilio. Kukutana nao tu kajidhalilisha, chezea noti wanazorusha kuonyeshea mitandaoni.
 
1423417693756.jpg
 
tuache unafki usio na maana....cos angalau dada wa watu kampumua kidogo....je mwenzake aliye pata hapohapo mbona hamkusema anajizalisha..........kabla ujamnyooshea mtu kidoge hesabu idadi yako kwanza....
 
ha ha ha kajipenyezaa hadi kamfikia Ivan lol...masogange alilaliwa akapewa mkoba ngoja tuone ye anaezapewa viatu

Shouger,kwa maisha yalivyo magumu mbona dada zetu watalalalwa sana aisee??na hao kina King wakikulala lazima waseme tu hata wasiposema itajulikana tu.yaani Kampala wanaogopwa kama ukoma.hawaoni shida kukulipia ticket ya ndege first class uje ili uchezee dyudyu then ukizingua tu wanakuanika.sina hamuuu
 
mbn king nampata vema ha ha ha alimuanika Hudda kuwa alimpigia simu, wakapanga bei akatuma tiketi 1st class akala mzigo akalipa cash na picha akaweka japo hudda alikana ila zile picha mmh,akafata masogange lol story ikaanza kwa kuweka picha ya pochi ikisindikizwa na maneno "someone has chosen this" mara picha ya masogange hiyooo watu kwa umbea wakamsakama wee sijui ndo kafunga account sijuu ndo kablock...nw madame ndani ya house story inaendelea kishaapload picha ya pombe
 
Ila shouger yangu Masogange hajielewi.hiyo hela ya kununua pochi si bora hata angempa cash apunguze shida zake??unajua ile pochi si chini ya dola 2000
 
Shouger,kwa maisha yalivyo magumu mbona dada zetu watalalalwa sana aisee??na hao kina King wakikulala lazima waseme tu hata wasiposema itajulikana tu.yaani Kampala wanaogopwa kama ukoma.hawaoni shida kukulipia ticket ya ndege first class uje ili uchezee dyudyu then ukizingua tu wanakuanika.sina hamuuu

Walimuanika Juliana Kanyomozi wakiwa room na Condoms zilizotumika
 
Na hapa kamsema Zari kamsema Zari kwa kurusha post instagram...akaifuta hataka kumbe watu wameinyaka.

Duh y alimuacha Diamond kama bado anamzimia...au ni wivu sababu hakuchuja. Au ni kusikiliza ya wapambe ndio wanamuamulia.

Ila yeye kumsema mwanamke re mimba ni kitu kibaya sio tabia nzurim
 
Shouger,kwa maisha yalivyo magumu mbona dada zetu watalalalwa sana aisee??na hao kina King wakikulala lazima waseme tu hata wasiposema itajulikana tu.yaani Kampala wanaogopwa kama ukoma.hawaoni shida kukulipia ticket ya ndege first class uje ili uchezee dyudyu then ukizingua tu wanakuanika.sina hamuuu

yalikukuta nn
mbona umeongea kwa hisia
 
Ila shouger yangu Masogange hajielewi.hiyo hela ya kununua pochi si bora hata angempa cash apunguze shida zake??unajua ile pochi si chini ya dola 2000
ila shida mbaya ha ha ha duh yani mtu anajitolea atiwe atangazwe ilimradi apewe vihela mweh
 
yani mm tu ndio nimekosa huu mgawo wa wema
 
Back
Top Bottom