Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
hana jipya.
kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hana jipya.
Una uwakika kua kila mwanaume anamuonja?
Pamoja na kwamba hayo ni maisha yake binafsi ila kiukweli hii ni zaidi ya ujinga. Mwanamke anayejiamini hawezi kujirahisi kwa mwanaume eti ili amkomoe mwanaume wake walieachana.
ha ha ha kajipenyezaa hadi kamfikia Ivan lol...masogange alilaliwa akapewa mkoba ngoja tuone ye anaezapewa viatu
Shouger,kwa maisha yalivyo magumu mbona dada zetu watalalalwa sana aisee??na hao kina King wakikulala lazima waseme tu hata wasiposema itajulikana tu.yaani Kampala wanaogopwa kama ukoma.hawaoni shida kukulipia ticket ya ndege first class uje ili uchezee dyudyu then ukizingua tu wanakuanika.sina hamuuu
mbn king nampata vema ha ha ha alimuanika Hudda kuwa alimpigia simu, wakapanga bei akatuma tiketi 1st class akala mzigo akalipa cash na picha akaweka japo hudda alikana ila zile picha mmh,akafata masogange lol story ikaanza kwa kuweka picha ya pochi ikisindikizwa na maneno "someone has chosen this" mara picha ya masogange hiyooo watu kwa umbea wakamsakama wee sijui ndo kafunga account sijuu ndo kablock...nw madame ndani ya house story inaendelea kishaapload picha ya pombe
Jaman iv uyu dogmaster m/mke au m/me
Shouger,kwa maisha yalivyo magumu mbona dada zetu watalalalwa sana aisee??na hao kina King wakikulala lazima waseme tu hata wasiposema itajulikana tu.yaani Kampala wanaogopwa kama ukoma.hawaoni shida kukulipia ticket ya ndege first class uje ili uchezee dyudyu then ukizingua tu wanakuanika.sina hamuuu
Shouger,kwa maisha yalivyo magumu mbona dada zetu watalalalwa sana aisee??na hao kina King wakikulala lazima waseme tu hata wasiposema itajulikana tu.yaani Kampala wanaogopwa kama ukoma.hawaoni shida kukulipia ticket ya ndege first class uje ili uchezee dyudyu then ukizingua tu wanakuanika.sina hamuuu
yalikukuta nn
mbona umeongea kwa hisia
ila shida mbaya ha ha ha duh yani mtu anajitolea atiwe atangazwe ilimradi apewe vihela mwehIla shouger yangu Masogange hajielewi.hiyo hela ya kununua pochi si bora hata angempa cash apunguze shida zake??unajua ile pochi si chini ya dola 2000