Wema and Ommy Dimpoz, Hii nayo ni project?

ila shida mbaya ha ha ha duh yani mtu anajitolea atiwe atangazwe ilimradi apewe vihela mweh

siyo shida ni kujiendekeza.....wewe Mungu kakupa uzima....afya njema....hauna ulemavu wowote.....unashindwa kufanya kazi za halali ili uzitatue shida zako......na uone huo ufuska wanaoufanya hauwasaidii chochote.......wanaishia kufanya starehe za kijinga.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…