Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang'anywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film Production na aliyekuwa mpenzi wake, Clement ‘kigogo wa ikulu' na sasa amebaki mweupe, Amani limepakuliwa ikiwa imeiva.
ZAIDI BOFYA HAPA:WEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND - Global Publishers
View attachment 132743
Unabeba mume wa mtu tena hadharani....aaaaaaaaaaaahhh hii hata Mungu hapendi, nahisi litakuja kubwa zaidi ya ilo,Ila simuombe baya aisee.