Wema aonyesha jeuri ya pesa nchini China

Wema aonyesha jeuri ya pesa nchini China

Binamu wivu huo, ngoja mama ubaya arudi kutoka china mtakavyo rushwa roho, maana nimesikia anataka kufungua duka kubwa na litakuwa ndani shopping mall kubwa apa dar kama mlimani,kibp,quality center nk., so msubir maumivu ya moyo,andaeni ndimu kabisa mapema

Tulambe ndimu mara ngapi...tushakuwa chronic na ndimu labda atuletee jik tunywe maana ukweli ni kwamba biashara hawezi ila ngoja tumvumilie
 
Kwa kajala alienda kumkomoa Wema tu na kajala alishapewa kubwa ila ndo hivyo anabembelezea abakibaki. Kuhusu buzi nasikia ni siri watu wanahisi hisi tu, birthday M.10, Gari , first class China ndani ya mwezi kwa ubahili wa dai hata kwa bastola hatoi. kuhusu dai sasa hivi yeye ndo anaeteseka coz wema alishachoka vituko vyake ameamua kuwa busy kufanya yake japo si kwa kuachana. Dai kwa kifupi haijui hatima yake kwa madam. WiFi, mama MTU na Dai mwenyewe siku hizi ndo wanabembelezea kwa madam. We huoni wanavyopendeza siku hizi...yes hela walikuwa nayo na ni hela yao ila walikuwa hawajui wajipendezeshe vipi. Madam kawaspoil

Maskini dai mwaka wake huu looh
 
Hahahahaha...dina unaniuaaaa...uwiii...kumbe. lolowapi ana pumbu???nilifikir anachuchumaa wakati wa kukojoa

Eeee ukimuona anavaa kikoi muda wote nahis ana busha lolowapi
Ndio nishasema hivyo(mrembo by nature's voice)
 
Last edited by a moderator:
Tulambe ndimu mara ngapi...tushakuwa chronic na ndimu labda atuletee jik tunywe maana ukweli ni kwamba biashara hawezi ila ngoja tumvumilie

Yaan ni hivi labda tulambe tindikali
 
Huku ni kucheka tu hakuna kununaa

Sikuiz nasoma napita kimya kimyakimya na kama niki koment basi ni mara chaaacheee......ilaa leooo nmecheka sanaa adi nmemsimulia na mwenzang jamann kachekaa adi basiii
 
Sikuiz nasoma napita kimya kimyakimya na kama niki koment basi ni mara chaaacheee......ilaa leooo nmecheka sanaa adi nmemsimulia na mwenzang jamann kachekaa adi basiii

Chekeni mwaya kununa ni hatari kwa afyaaa
 
Marafiki wa mjini hao ukigeuka ana bwanaako, tujifunzegeee

Hivi kumbe hao wadada shoga zake wema ni machangudoa wa India na China. Alafu eti wanachukua wasichana kutoka Tz na kuwauza then wawalipe hela flani ndipo wawaachie. Passport zao zinazuiwa. Insta kumechafuka ushahidi umewekwa
 
Ni shidaaa,ndege wafananao huruka pamoja nakuambia,wema awaige kina Nancy jamanii
Atajijua kwanza mfyuu
 
Back
Top Bottom