Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Warumi itakuwa ni mtu anatumia jina lake.zamani nikiona Warumi ana Ubuyu unajua Leo raha.Ila huyu amekuwa mnafiki mbea na umbea wenyewe haujui basis ni tabu
Mbona kutwa mnajazana kwenye threads zangu? Huwa nawaita? Aaah mimi ni kama maji ndugu
 
Warumi huna tofauti na Mange kimambi unayemponda, umekua ni mbea mbeaa, mshakunaku balaa yaani kifupi unachefua sana ptuuu
Kama nakuchefua unafuatilia thread zangu za nin? Huwa mnaitwa? Ebu niacheni, mimi ni kama maji usipooga lazima unywe, kama hamtaki umbea kwendeni huko sio lazima kuchangia thread Zhangu
 
Leo nanyooosha mmoja mmoja mpaka mnyooke pambafu zenu, mimi ndo jeshi la mtu mmoja
 
MOJA YA U SMART NA UMAFIA WA BATULI KWA MUJIBU WA WARUMI [emoji23] [emoji23]
 
Kama nakuchefua unafuatilia thread zangu za nin? Huwa mnaitwa? Ebu niacheni, mimi ni kama maji usipooga lazima unywe, kama hamtaki umbea kwendeni huko sio lazima kuchangia thread Zhangu
[emoji23] [emoji23] wewe si mavi usipohara utajikwinya....kwiyoooo
 
hapa JF kungekuwa na block wallah mtu wa kwanza kumblock ungekuwa ni wewe warumi
tatizo sio kuleta hizo habari tatizo jinsi unavyozileta unaonekana kabisa kuna mtu/watu fulani unawachukia why?? ok kuwachukia sio labda una sababu zako binafsi ila kwanini ulazimishe watu tujue kama upo hivyo kumbuka kuwa wao pia ni binadam kama wewe wanakosea kama wewe...hao ni public figure kwanini uwachafue kwa chuki zako binafsi
sio lazima kunijibu
 
Jaman hizo isue za insta huku za nn ? JF ni great thinker
 
Leo nanyooosha mmoja mmoja mpaka mnyooke pambafu zenu, mimi ndo jeshi la mtu mmoja
Kama wewe ni jeshi na Mange tutamuitaje? Hahahaha usipende kujipa sifa ambazo huna mdogo wangu, umejificha kwenye kichaka cha Jina feki kama nduguyo Daudi alafu unajiita jeshi la mtu mmoja..!! Tanzania maajabu hayatoisha
 
Warumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.

Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Nilimla batuli kwa $100 kwenye gari..saaa huyu anayesema sio changu sijui hawajui hawa bongolala
 
Warumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.

Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Batuli ameona atokee kwa Wema

Kiki ngumu siju hizi mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…