Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Msanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.

Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.

Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.

Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.

Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo!
7c4166ffaac3ab40871d0290bf47bc5a.jpg
Ujinga na uoga wako ndio unataka kuwaambukiza wengine. Eti mziki wa Batuli sh...... zako. Haya muambie alete huo mziki wake tuuone.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Analete majungu yake humu, eti insta, yeye akajibu snap nini sijui. Hao wengine wakileta thread za kijinga nikuwa barn tu.
 
Msanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.

Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.

Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.

Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.

Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo!
7c4166ffaac3ab40871d0290bf47bc5a.jpg
Kwani Batuli ndiyo nani?? In Joti's voice
 
Duh uyo Batuli hata kwenye movie za kwenye bus za mkoani ambazo tunalaZishwa kuzitazama sijawahi kumuona kweli bongo movie wako wengi.
 
Hatutoi kiki kwa hiyo mnuka pichu kistuli . Wema mmoja kafanya wasanii njaaa wote kuharisha pumba. Na bado Wema atawatesa sana.
 
Wema atawajambisha wasanii uchwara woooote. Huyo batuli mwenyewe nasikia alipitiwa na makondakta
 
Akili za ukawa mmmh pileni sana lkn jitahidini huenda sk itakuwa kweli tofauti na sasa mlivyo na ndoto
 
Nina mashaka na akili yako warumi mada zako za kipuuzi puuzi na wanaozifatilia pia ni wapuuzi kama. Hizi mada zinazidi kutufanya masikini nchini! Ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom