Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

MOJA YA U SMART NA UMAFIA WA BATULI KWA MUJIBU WA WARUMI [emoji23] [emoji23]
fc6b3c6af50f6e8f85d3a154a116b4ac.jpg
Hiyo tunajuwa walikuwa wapo location ni miongoni mwa scene za muvi yao moja hivi
 
Warumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.

Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Iko hivi ni hesabu ndogo tu Changu + Doa= wote ni machangudoa ila kuna mmoja yeye ni .......Changudoa - Doa =Changu
mean Batuli hataki Doa ila ni Changu na level zake ni kina Sir Isaack Newton wavumbuzi wakubwa ila hawakuwa na kitu ila kwa wema ana deal na kina Wallen Buffet wavumbuzi wenye kitu na vitu
 
Hiyo tunajuwa walikuwa wapo location ni miongoni mwa scene za muvi yao moja hivi
Basi kama muvi huchezws hivi jua hakuna u Smart hapa wala umafia zaidi zaidi ni Umalaya usio soni, sijawahi sikia Bongo Movie smart tangu ilipovamiwa na hawa Malaya mbwa! Sasa yeye Batuli si mafia? Amijibu na mke mwenzie Irene uwoya sasa kama ana ubavu huo
 
Kama wewe ni jeshi na Mange tutamuitaje? Hahahaha usipende kujipa sifa ambazo huna mdogo wangu, umejificha kwenye kichaka cha Jina feki kama nduguyo Daudi alafu unajiita jeshi la mtu mmoja..!! Tanzania maajabu hayatoisha
Povu linakutoka kwa sababu ya Wema [emoji23] kweli una matatizo by the way dunia nzima inajuwa kuwa wema ni prostitute
 
Nilimla batuli kwa $100 kwenye gari..saaa huyu anayesema sio changu sijui hawajui hawa bongolala
Ulimla usingizini sio mbaya sana maana ulivyo amka ili kubidi ufuwe chupi lako
 
Povu linakutoka kwa sababu ya Wema [emoji23] kweli una matatizo by the way dunia nzima inajuwa kuwa wema ni prostitute
Hili povu hili ni kwa wafoji vyeti Wema mnamuhusisha tu, ila ukweli warumi anaujua..!!
 
Kwani wema ana nini? Mbona naye kaomba kiki kwenye siasa kaona kiki hazipatikani now dayz
Ebu waambie, kafulia kila idara, nyapu haiuziki, film hauzi, kaona akimbilie siasa
 
Hili povu hili ni kwa wafoji vyeti Wema mnamuhusisha tu, ila ukweli warumi anaujua..!!
Wema mwenyewe ndii wale wale tu nothing on mind...nadhani Tz tulipotea kupata miss kama yule na sidhani kama kuna miss malaya kama huyu aiseee
 
Msanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.

Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.

Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.

Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.

Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo!
7c4166ffaac3ab40871d0290bf47bc5a.jpg
ungeend instgrm ukaandike hvi
 
Wema mwenyewe ndii wale wale tu nothing on mind...nadhani Tz tulipotea kupata miss kama yule na sidhani kama kuna miss malaya kama huyu aiseee
Tukubali Tu hata batuli nae sio smart kama anavyonadiwa na huyu poyoyo,si Wema si batuli wote ndo vile vile ...kwaiyo warumi akitaka kuchamba achambe wote na sio kutoa kiki safi kwa mtu mchafu kama batuli
 
Ebu waambie, kafulia kila idara, nyapu haiuziki, film hauzi, kaona akimbilie siasa
Hao wanaosema wema ni star bongo Movie naomba wanitajie movie zake mbili wema alizoekti tangu mwaka 2015 mpaka leo na mauzo yake sokoni yapoje
 
Ebu waambie, kafulia kila idara, nyapu haiuziki, film hauzi, kaona akimbilie siasa
Kiuhalisia wema huwa simuelewagi in acting na sidhani kama anajiwa kuigiza sema uprostitute wake ndio unamuweka bongo muvi
 
Back
Top Bottom