Wema aposwa na Masai

Wema aposwa na Masai

Hhahahahaha mmasai kaandikwa maneno ya kiswahili kwa kutumia herufi za kiarabu nimecheka kadi naskia kizunguzungu
 
Barua inasomeka kama hivi....

Salamu nyingi sana,ama baada ya salamu napenda kujua hali zenu sisi hali zetu alhamdulillah..

Madhumuni ya barua hii kuleta posa ya binti yenu wema bint abraham sepetu kujuwa mahari yake..

Mimi kijana wenu daudi nyembo bin ayoub

Wabillah taufiq

Assalam allaykum warahmatullah wabarakat

Maa salam....

Cc Dinazarde miss neddy Kim nana
 
Last edited by a moderator:

Cc Dinazarde

Unajua ndio nimerudia kusoma, kumbe ni herufi tu za kiarabu lakini ni ukisoma ni kiswahili hapana aisee hata kabanga sikymuelewaaa hii kalii,ndo utaratibu au!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unajua ndio nimerudia kusoma, kumbe ni herufi tu za kiarabu lakini ni ukisoma ni kiswahili hapana aisee hata kabanga sikymuelewaaa hii kalii,ndo utaratibu au!!!!!

Hahahaha labda hajui kuandika kwa kiswahili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom