Wema atoa offer ya Mil. 2 kwa atakayempata mbwa wake...

Wema atoa offer ya Mil. 2 kwa atakayempata mbwa wake...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu nae atutokee hapa na stress zake mxieew, Mil mbili anazijua au anazisikia mxieew, jitu lenyewe limefulia limeenda kukaa kijichi huko kujifanya nyoko nyoko na usikute hata mbwa mwenyew hajapotea wala nini kutafuta Kiki tu, ndo kujifanya anamgeza lady Gaga Sijui mxieew hela yenyewe hana

IMG_1321.jpg
 
Back
Top Bottom