Wema atoa offer ya Mil. 2 kwa atakayempata mbwa wake...

Your browser is not able to display this video.
 
Hela Yao wanapata kwa mambo mengi,wengi wao wamefaya sana kazi ya kuwa PUNDA!! Shoga yake Wema ALLU si kakamatwa na wanaume zake wauza NGADA!!!
huyo allu kumbe ni rafk yake.the same pia kwa masogange
 
wataje hata watatu
 
Tunda na Wema wamebadilika hawana nuru kabisa
 
Tunda na Wema wamebadilika hawana nuru kabisa
Ukiskia gusa unase ndo pale sasa .ray c kakimbilia ulaya...niliwai meet na ray c pale tht aisee....alikua kakonda vibaya mno..alikua na meeting na ruge halaf mi ndo nilikua nmetoka kwa ruge pia nilikua na meeting nae..ila alikua mweupe sanaaa..yaan had mishipa ya damu unaiona.dah
 
Sasa hivi si ray c kanenepeana balaa, anaishi boko kwa maza ake...

Ila mbona kila demu msanii kapita kwa Ruge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…