Wema atoa offer ya Mil. 2 kwa atakayempata mbwa wake...

Kwani Title ya uzi mbwa kapotea au kulambwa nyap mbona sielewi.
 
Anaishi kibeberu beberu, hiyo pesa angeitoa kusaidia masikini/mafukara angefanya la maana sana.
 
Aliyelipa faini ya kajala ni sponsor wa wema sio wema na ndio chanzo cha wema kumchukia kajala. Maana kajala alienda kulipa fadhila kwa sponsor

Hii tutaiweka kwenye umbea wa throwback [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…