hebu ileteHii tutaiweka kwenye umbea wa throwback [emoji23][emoji23]
mrithi wa wema ni nani? hamissa mobeto au[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwenzangu hilo nalo neno , ebu atupumzishe zilipendwa
Sasa hivi si ray c kanenepeana balaa, anaishi boko kwa maza ake...
Ila mbona kila demu msanii kapita kwa Ruge?
alifariki kwa umeme nini? maana niliwahi kusikia sepenga ameunguaAlishafariki Clement
Linapenda kuiga iga wenzie wana mikwanja wanamiliki mansions, famous yy miaka nenda rudi amekalia upuuzi
Hapana hakua naoalifariki kwa umeme nini? maana niliwahi kusikia sepenga ameungua
Msiba ulikupita, pole tena ungefaidi umbea hahahaShoga usiniambie? Mbona sijawah kusikia Jaman warumi mie ningeenda kulia matanga
Watu tunatafuta Rais wa nchi yeye anatafuta mbwa? Watu tunatofautiana aisee...hahahahahMaisha Hayo kwio
Ruge kabila lake umelisahau nn..had lady jdee kapita nae...sasa achana na huyo..chain ya liyumba yule wa BOT unaijua[emoji16]...balaaa...yule aliekua anawahonga red carsSasa hivi si ray c kanenepeana balaa, anaishi boko kwa maza ake...
Ila mbona kila demu msanii kapita kwa Ruge?
Mke wa romy jones kazaa na ruge . ChezeaMusic + movie industry ya kibongo ina chain ya maambukizi kwa kiasi kikubwa mnoo...na wala hawajali kushare hayo mavitu but ni balaaa
Ndio kazi kubwa ya hivyo vijibwa kwa wadada hawa wa mjini...Aahhhh rafiki. Dunia ina mambo mengi hii.
Jide ndo ananiuma balaa, coz ni fighter sana yule mmama[emoji22][emoji22]Ruge kabila lake umelisahau nn..had lady jdee kapita nae...sasa achana na huyo..chain ya liyumba yule wa BOT unaijua[emoji16]...balaaa...yule aliekua anawahonga red cars
Hakuna kitu hapoo mptuuHata wema ni tajiri anamiliki application kwenye simu na hua anamiliki ile cook with wema nasikia ni don hatari
Hebu funguka vizuri dear, lini,wapi, na je uzi wake umo humu? Wa kifo chake?Msiba ulikupita, pole tena ungefaidi umbea hahaha
Oooh ok...kwahiyo Clement bado yuko hai eti?C Kiondo najua alikuwa ni mume wa marehemu Badria Kiondo
jide anakuuma kwasababu gani?Jide ndo ananiuma balaa, coz ni fighter sana yule mmama[emoji22][emoji22]
Hii midemu mingine mipenda kitongaaa walaaa, hainiumizi kichwa[emoji848]