Wema, Aunty Ezekiel Wapatana

Wema, Aunty Ezekiel Wapatana

Aunt alienda kwa wema na gari akaliacha huko,kisha akampitia kajala wakaenda mahala,kufik huko wakamkuta wema na dada yake nuru,wakaenda kukaa meza ya kina wema,kajala nasikia akaanza kutunza kwenye band kwa fujo bihie wema akahisi anarushwa roho kwa hasira akamwagia kajala soda ya fanta na da nuri akamkunja kajala..aunt ndo akaanza kuamulia ila ugomvi ukamshindwa ikabidi akimbie yeye na kajala na handbag wakaziancha zikaja kufatwa na muna mindu...mpaka jana gari la aunt lilikuwa kwa wema ....huo ndo umbea.nasikia aunt akaitwa mnafiki na wema

haa haa hawajatoana manundu? anti nae kwani lazima awe na ushost na wote wawili?
 
Hawa wenzetu muda wa kuyafanya hayo maujinga wanaupata wapi?
 
ndo maana yake.. wanamtumia2 mwisho wa cku wanamchukulia mabwana zake..kwn uongo?
 
Back
Top Bottom