Atakuja shutka akiwa na miaka 40 hakuna ndoa wala watoto akiwa amebakiwa na historia ya kuvaa engagement rings..nao wanaomvalisha akili hawana kabisa au ni namna ya kujitangaza kwa kupitia magazeti.Huyo binti ni pasua kichwa hata mikasa haijaisha ring nyingine lol:ranger:
Hii ni sinema tu, msiwe na tatizo kabisaaaa!!!!!!!!!!!!!!Hatimaye wema nyota avishwa tena pete kuonyesha bado nyota yake inang'aa japo anapitia misukosuko mingi katika mapenzi na kudhihirisha usemi ukisema chanini wenzio wanasema watakipata lini.
Jamaa anaitwa mwinyi kutoka machozi band na hafla hiyo imefanyika usiku huu pale new maisha club na kusindikizwa na mastar wenzake wengi kama sharomillionea,jb,gadna g habash,mateja na wengine kibao.
Kila la heri dada