Wema avishwa pete

Wema avishwa pete

she waz just shooting her move jaman cyo kwel
 
Huyo binti ni pasua kichwa hata mikasa haijaisha ring nyingine lol:ranger:
Atakuja shutka akiwa na miaka 40 hakuna ndoa wala watoto akiwa amebakiwa na historia ya kuvaa engagement rings..nao wanaomvalisha akili hawana kabisa au ni namna ya kujitangaza kwa kupitia magazeti.
 
Jamani eleweni kitu kabla hamjapost...alikuwa ana shoot move na si kwamba ni tukio la kweli.
 
Alikua anatengeneza movie yake mpya hapo na mwinyi alicheza nafasi ya diamond na kuongea maneno kama aliyosema diamond.

Source: millardayo.com
 
Hatimaye wema nyota avishwa tena pete kuonyesha bado nyota yake inang'aa japo anapitia misukosuko mingi katika mapenzi na kudhihirisha usemi ukisema chanini wenzio wanasema watakipata lini.
Jamaa anaitwa mwinyi kutoka machozi band na hafla hiyo imefanyika usiku huu pale new maisha club na kusindikizwa na mastar wenzake wengi kama sharomillionea,jb,gadna g habash,mateja na wengine kibao.
Kila la heri dada
Hii ni sinema tu, msiwe na tatizo kabisaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimetelliwa kuwa ni just a movie, pete, hizi pete!, pete sio ishu, mapenzi yapo kweli au magumashi, ukikaa mbele za watu unawaringishia, unajichekesha, ukijifungia chumbani unalia!
 
Back
Top Bottom