Wema awafungukia wanaomsema kutembea na Bajaji

Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.

Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?
Nilikuwa naheshimu michango yako humu ndani lakini tangu neno mla vumbi uliweke kama kibwagizo cha kila mchango wako sina la kusema
 
Ha ha ha,Kwa hilo huachwi madame, ulidai Range ndio linalo kunakshia makalio sasa Bajaj itafaa nini kwa mtu unaye tumia Mil.1.2 per week kwenye nywele tu,jifunze tu kukubali maisha magumu sasa soko halina washitiri na umri umekutwanga ita eleweka tu, tulisha ambiwa kila enzi na vitabu vyake, vimesha ingia vitabu vipya pumzika tu sasa uliyo yafanya si haba umeacha kahistoria kako au mpaka ufie kazini?
 
lazima afuatiliwe maana si alisema anatumia 1.5 milioni Kwa wiki kwaajili ya nywele tu? mbwa wake amakula 30,000 Kwa siku , sasa Kwa matumizi hayo akipanda bajaji lazima watu washangae
 
Kama V8 hakupewa awamu ya nne aandike maumivu, huyu wa sasa anawasikililiza beauty with brains kama naibu speaker vile.
Mwee na kweli mana awamu iliopita ukiwa na sura nzuri na kalio kubwa hata kama kichwani empty unapewa ka wilaya kako
 
Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.

Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?

Niwe muwazi tuu hii kauli ya wala vumbi huwa inachekesha sana kukera. Sasa mtu ukifikiria kwa kina ni kweli huku siye ni wala vumbi, najikuta nacheka tuu .
True kama hapa bongo kuna mtu hajawahi panda bajaji ama Sanlg basi sijui atakuwa anaishi maisha yapi hayo.

Amigo bro
 
Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.

Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?
Hahahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kaka kima ngabu daah[emoji119] [emoji119]
 
Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.

Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?

Hivi na hapo ulipo usafiri wa aina hii upo?
Hivi mla vumbi ni mtu au nyoka?
 
kwan mnashangaa nn jaman? mbona mie warumi natembelea baiskeli hamuongei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…