Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa naheshimu michango yako humu ndani lakini tangu neno mla vumbi uliweke kama kibwagizo cha kila mchango wako sina la kusemaBajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.
Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?
Ha ha ha,Kwa hilo huachwi madame, ulidai Range ndio linalo kunakshia makalio sasa Bajaj itafaa nini kwa mtu unaye tumia Mil.1.2 per week kwenye nywele tu,jifunze tu kukubali maisha magumu sasa soko halina washitiri na umri umekutwanga ita eleweka tu, tulisha ambiwa kila enzi na vitabu vyake, vimesha ingia vitabu vipya pumzika tu sasa uliyo yafanya si haba umeacha kahistoria kako au mpaka ufie kazini?STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.
Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine na maisha yote anastahili kuishi.
“Jamani sijui mijitu mingine ikoje? Bajaj ni usafiri kama usafiri mwingine, sasa cha ajabu nini mimi kuutumia? Mniache na maisha yangu,” alisema Wema.
Mwee na kweli mana awamu iliopita ukiwa na sura nzuri na kalio kubwa hata kama kichwani empty unapewa ka wilaya kakoKama V8 hakupewa awamu ya nne aandike maumivu, huyu wa sasa anawasikililiza beauty with brains kama naibu speaker vile.
Kwani watu wake hawamualikagi kwenye harusi?Nimeona vid anasema anatamani harusi
Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.
Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?
Hahahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.
Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?
Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.
Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?
Hivi na hapo ulipo usafiri wa aina hii upo?
Hivi mla vumbi ni mtu au nyoka?
Kama walivyo ndg zako au hata wazazi wako
Contena likiingia nibeep plz. Undugu umeanzia hapa JF.Ndugu zangu hawanuki kikwapa. Huwa naleta kontena na antiperspirant deodorants kutoka Marekani.
USA baby....
Contena likiingia nibeep plz. Undugu umeanzia hapa JF.
Kwasababu tunajua Warumi hupendi makuu zaidi ya umbea.kwan mnashangaa nn jaman? mbona mie warumi natembelea baiskeli hamuongei
Hela ya kuzibulia vyoo imeongezeka?Ndugu zangu hawanuki kikwapa. Huwa naleta kontena la antiperspirant deodorants kutoka Marekani.
USA baby....