Wema awafungukia wanaomsema kutembea na Bajaji

Wema awafungukia wanaomsema kutembea na Bajaji

STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.

Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine na maisha yote anastahili kuishi.

“Jamani sijui mijitu mingine ikoje? Bajaj ni usafiri kama usafiri mwingine, sasa cha ajabu nini mimi kuutumia? Mniache na maisha yangu,” alisema Wema.
Zero brain, mbona insta mnataka na kuringishia kuwa na followers wengi!?, naomba rafsiri ya neno "followers" ndo tuendelee.....
 
Kipindi anachukuliwa na Jumbe yule jamaa wa tabata alikuwa na wifi yake dada yake jumbe alikuwa na kigari kibovu sana nakumbuka ndio wema alikuwa anapenda kutokea kwenda viwanja mida ya usiku,kama sio kilikuwa ki Mark 2 basi Corolla,
Tatizo sio wanaofatilia maisha yake tatizo wao wamezoea kuishi maisha ya kucopya sasa wakiishi halisi watu wanashangaa ndio kama hivyo
 
mbona poa tu kupanda bajaji, waache kumfuatafuata
 
kama anasomaga JF, naomba ajue kuna mwanaume ninae mpemda nae ni mimi, naitaji nkae juu ya kufia chake tu, walau nkimkojoze mara moja nyie msemeni ila akisoma ujumbe huuu anitafte please sina pesa ni maskini ila nina mtamani sana
 
Hivi wanaoishi huko kusiko na vumbi mbona wanapenda sana habari za walavumbi ambao siyo wa grade yao
 
Kwanza kipindi iki hadi mabosi wa serikarini wanapanda bajaji vp yy kawaida tu aspaniki wema
 
Back
Top Bottom