Wema bila kanumba basi acha uigizaji

Wema bila kanumba basi acha uigizaji

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wema isaac sepetu ambaye alikuwa pia ni former miss tanzania in 2006 alishawishiwa kuingia bongo movie na the late kanumba na kubahatika kufanya baadhi ya movie ambazo zimemtambulisha vyema kwenye soko la filamu apa tanzania.Wema wa sasa ivi sio wema wa kipindi kile cha marehemu kanumba,wema hana mvuto tena kwenye filamu apa bongo,labda kinachomsaidia ni jina na umbo lake lenye mvuto tu ila kwa filamu bado sana,sisemi kuwa hajui kuigiza apo nitakuwa naongopa ila tatizo amekosa mtu wa kumuongoza au kum direct kama alivyofanya marehemu kanumba,ukiangalia izi movie alizocheza na marehemu utakubali wema ni mkali,kuna POINT OF NO RETURN,RED VALENTINE,FAMILY TEARS na WHITE MARIA kwenye izi movie ukimcheki wema alivyocheza huwez kuchoka kumuangalia,mtoto alichezeshwa akachezeka,nilipenda sana POINT OF NO RETURN yaani ukiangalia yule muhusika ambaye ni wema na maisha ya yule binti utasema kweli ile story ni ya wema ila kumbe yeye kamuwakilisha tu na haisik na tabia za yule dada,siku izi wema unavulunda kwenye movie yaan toka uache kucheza na kanumba bado sijaona makali yako kwenye movie yeyote,ebu tuliza kichwa na ujaribu kujiangalia upya nini unatakiwa kufanya.kwa sasa una kampuni yako ya movie ebu jaribu kutafuta director aliyesomea kaz hyo af jaribu kufanya nae movie af utaniambia,achana na ma director wa ajabu wanakiaribia kazi yake,sasa Ivi ma producer wanakutafuta kwa kuwa una jina na kweny cover unauza ila sio kweny uigizaji.kwa apa mimi binafsi namkumbuka sana marehemu kanumba.for the love of the game
 
Sijaangalia movie siku nyingi ngoja nitafute mpya nilinganishe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
tokea Kanumba atoweke, wasanii waliobaki wanaigiza kuigiza.!!
 
Idawa sio wote bwana. Yupo JB anajuaga kuvaa uhalisia. Ila ni kweli kuondoka kwa Kanumba kumetengeneza pengo. Kanumba alikuwa anawatia hasira kwa hiyo walikuwa wanajitahidi kumfunika.
 
wema mauzo tu ila hapasi kufanya sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom