Wema, diamond... Hakuna ndoa


Huyu dada ana pepo baya sana...tena inawezekana na shetani mwenyewe....stupid Wema....
 
kama angeweza atulie tu sasaiv na kukaa mbali na mapenzi coz imekuwa kama mchezo wa kuigiza na kumchafulia sifa.naamini maumivu yanayo muumiza yataisha na atakuwa katika hali ya kawaida hadi Mungu amfugulie njia na kumpa mume mwema.kama anataka ushauri ............anicheki
 
huyu mtoto angekuwa mtulivu me ningemuoa nampenda sana!ila ndio kanikatisha tamaa na huo uhuni wake wa kuliwa tigo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…