Wema, Dogo Janja ndani ya SKENDO mpya

Wema, Dogo Janja ndani ya SKENDO mpya

Wema kama ananuea watu kweli inabidi nimtafute tu
 
Mmh mbona balaa tena mujini, Ila wema mchafu, sasa dogo janja jamani c mume wa uwoya , na uwoya alikua kwenye birthday yake mlimani , kumbe bibie anamendea pipi ya dogo janja... mmh mi mwenzenu bado nipo nashangaa tu hapa , huu umbea sikuutegemea kabisa
Mfupa uliomshinda fisi

Huyu dogo naye Kama kunguru. Kila siku mizoga
 
Mmh mbona balaa tena mujini, Ila wema mchafu, sasa dogo janja jamani c mume wa uwoya , na uwoya alikua kwenye birthday yake mlimani , kumbe bibie anamendea pipi ya dogo janja... mmh mi mwenzenu bado nipo nashangaa tu hapa , huu umbea sikuutegemea kabisa
Hivi hawa madada wa mjini, kubadilisha hivi wanaume kweli watakua wanatoa kei peke yake au na ..
 
Ni dhahili uwoya ni fundi ,wema sina hakika sana SASA DOGO ALIWAHI IMBA '' YOUR MA NUMBER ONE ,UNANIPAGA HADI MAMBO YA UANI....'' Kwenye nikupereke ngarenaro

Wema nae fundi wahaja. wenyewe wanesema Anakunyaga.
 
Ni mimi tu nimebaki sijamgegeda wema..

1539802979800.png
1539802979800.png
namie mwenzio
 
Back
Top Bottom