Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,095
Leo ameshaingia mkenge wa bei za lipstick zao ambazo kwa wiki moja hawajauza kama walivyotegemea na hiyo nyota kweli nyota mbaya
Wiki moja watu eenye nyota huwa wanaishiwa stoki na kuomba uvumilivu wa wateja wasubirie wewe unatimiza wiki unashusha bei iwe nusu
Aaagh kweli hiyo nyota kaa nayo kama zamani nilisemaga hata wanangu hawatakujua khaaaaaa
Ufungage mdomo wako, wiki unashusha bei kuwa nusu pole sana na huyo msahauri wako wa biashara acha akule tu pesa yako.
Nyota ya mikosi nenda kanisani kasali na kasaliwe mwanamke wewe
Lipsticks way to expensive. Eti elfu 40 per piece. Kitu chenyewe mchina. Sasa na ya Marc itakuwaje?Leo ameshaingia mkenge wa bei za lipstick zao ambazo kwa wiki moja hawajauza kama walivyotegemea na hiyo nyota kweli nyota mbaya
Wiki moja watu eenye nyota huwa wanaishiwa stoki na kuomba uvumilivu wa wateja wasubirie wewe unatimiza wiki unashusha bei iwe nusu
Aaagh kweli hiyo nyota kaa nayo kama zamani nilisemaga hata wanangu hawatakujua khaaaaaa
Ufungage mdomo wako, wiki unashusha bei kuwa nusu pole sana na huyo msahauri wako wa biashara acha akule tu pesa yako.
Nyota ya mikosi nenda kanisani kasali na kasaliwe mwanamke wewe
DEMBA....upo miss u sijakusikia kitambo pole na majukumu asee
Binamu upo
safi bwana karibu tenanipo king si unajua tena mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
Anakusumbua wewe na ukoo wako