Wema: Hata nikizeeka nyota ipo pale pale

Wema: Hata nikizeeka nyota ipo pale pale

Leo ameshaingia mkenge wa bei za lipstick zao ambazo kwa wiki moja hawajauza kama walivyotegemea na hiyo nyota kweli nyota mbaya

Wiki moja watu eenye nyota huwa wanaishiwa stoki na kuomba uvumilivu wa wateja wasubirie wewe unatimiza wiki unashusha bei iwe nusu

Aaagh kweli hiyo nyota kaa nayo kama zamani nilisemaga hata wanangu hawatakujua khaaaaaa

Ufungage mdomo wako, wiki unashusha bei kuwa nusu pole sana na huyo msahauri wako wa biashara acha akule tu pesa yako.

Nyota ya mikosi nenda kanisani kasali na kasaliwe mwanamke wewe

Ahahaah mama ubaya akisoma hapa lazma alie
 
nyota yke itakua ile sigara kali ya nyota.....bi kidude alikua n nyota zaidi yke kafa akiwa n banda sio nyumba.....yeye auze mpapa halafu aseme ananyota dadadeki sifa zitampeleka kubaya
 
Ila kusema kweli tuache unafki hiki kibibi bomba kina nyota ya ajabu sana, hasa ile ya kutumbukizwa midudu ya kila aina na anawaruhusu watumie mitandao yote anayo sana tena sana.
 
hivi hizi birthday party wakifanya mbona hua hawasemi wametimiza miaka mingapi?????ila wema bado mbichiii nadhan ametimiza 29 mwaka huu.
 
Leo ameshaingia mkenge wa bei za lipstick zao ambazo kwa wiki moja hawajauza kama walivyotegemea na hiyo nyota kweli nyota mbaya

Wiki moja watu eenye nyota huwa wanaishiwa stoki na kuomba uvumilivu wa wateja wasubirie wewe unatimiza wiki unashusha bei iwe nusu

Aaagh kweli hiyo nyota kaa nayo kama zamani nilisemaga hata wanangu hawatakujua khaaaaaa

Ufungage mdomo wako, wiki unashusha bei kuwa nusu pole sana na huyo msahauri wako wa biashara acha akule tu pesa yako.

Nyota ya mikosi nenda kanisani kasali na kasaliwe mwanamke wewe
Lipsticks way to expensive. Eti elfu 40 per piece. Kitu chenyewe mchina. Sasa na ya Marc itakuwaje?
 
Anakusumbua wewe na ukoo wako

Duh, nimekosea njia.

Kumbe nilikoment kwenye hili jukwaa?

Kaka/dada nisamehe maana nimetoa komenti hiyo pasipo kujielewa.

Nisamehe sana kaka/dada yangu.
 
Back
Top Bottom