Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
Lakini, si kila mtu amejaa giza, kuna wengi ambao wanapambana na magumu yao kila siku, lakini wanajaribu kutoa wema na kusaidia wengine. Tunapojitahidi kuwa na huruma na kuelewa maumivu ya wengine, tunaweza kusaidia kurekebisha mioyo iliyovunjika ndani yetu na kurudisha nuru ya mwanga katika kizazi chetu.Tatizo binadamu ndugu yangu, ni watu wachache sana ambao hawana moyo wa hivyo ila wengi wao wamereshwa majeraha kwenye mioyo yao ndio maana wakaamua kua si wema tena.
NAUNGA MKONO HOJA.Si kwa tanzania hii
We are connectedHello, JF Members,
Kama wewe ni shabiki mkubwa na number one die hard fan wa Hilary Swank na Alan Ritchson basi hii movie ya Ordinary Angels (Malaika wa Kawaida) sio ya kukosa.
Ordinary Angels, 2024 ni filamu yenye mguso wa kihisia, inayoelezea maisha ya Sharon (Hilary Swank), mwanamke jasiri aliyepitia changamoto nyingi maishani mwake lakini anaamua kusaidia familia yenye matatizo makubwa. Hili ni tukio la kweli kabisa, na filamu hii ikipokea alama ya juu kabisa ya A-plus ( A+) katika CinemaScore, huku ikisifika kwa uigizaji wake wa hali ya juu pamoja na hisia za kweli zilizomo ndani ya filamu hii.
View attachment 3279381View attachment 3279405
Kwa yale machache, Sharon anakutana na Ed Schmitt (Alan Ritchson), baba mjane anayepambana kulea binti yake mgonjwa. Licha ya hali yake, Sharon anafanya kila awezalo kuhakikisha binti huyo anapata matibabu anayohitaji.
Kwa kumalizia, kupitia hii movie, mimi kama shabiki wa Ordinary Angels nimejifunza vitu vingi sana katika haya maisha tunayoishi kila siku hapa Duniani. Imenikumbusha kuwa wema hauhitaji utajiri, bali moyo wa kusaidia, mshikamano na matumaini, vinaweza kuleta miujiza katika nyakati ngumu zozote.
Kila mmoja wetu anaweza kuwa 'malaika wa kawaida' (Ordinary Angel) kwa mwingine.
You can create miracles even in the darkest times.
Peace be upon you.
Si kwa tanzania hii
Definitely, "Since the world is inter-connected and inter-dependent, if one of us is in pain, we all feel it."- Haemin Sunim (Author of Love for Imperfect Things).We are connected
Karibu sana, Pal.Asante sana kwa tambala la weekend
Sharon (Ordinary Angels)- Upendo wake haukutokana na wingi wa alichokuwa nacho, bali na wingi wa moyo wake uliojaa imani kwamba hata tendo dogo la wema linaweza kuwa mwujiza kwa anayehitaji. Aliamini kuwa maisha yanapata maana ya kweli tunapojitoa kwa wengine, kwa sababu upendo wa dhati hauhesabu gharama bali hufuata wito wa moyo.Dripping na upendo
So, the logic behind?Yeye mwenyewe kaigiza sio maisha yake halisi..!!
Ahsante sana mkuu. Ubarikiwe sana.Nikurekebishe kidogo hapo mkuu baba ni mgane mama ndie mjane.