Wema huijui Mtwara au dharau kwa wanamtwara?

Wema huijui Mtwara au dharau kwa wanamtwara?

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea huko sijui, MAMI-MTWARA sijui huko kwa wamakonde, hivi bi mdada huyu ni kweli hajui MTWARA inatamkwaje au ni dharau yake tu kwa wanamtwara? Ukiendelea na dharau zako hizo show zako za baikoko zitakudodea!
 
[emoji23][emoji23]kanichekeshaa analeta dharau kabla hajafika mtwara ngoja watu wamgomee kwenda kwenye yake achezee mwenyewe ,,huyu ndio miss tanzania mcheza vigoma wenzie ni ma boss lady ,, wametulia
 
Anaenda kufanya nn sasa km anadharau hvo?? Anawachokoza wazee wa gas kwanza eeeh.....anadhan watu wana shobo naye kule!!
 
Ha ha na akija mtwara hatuendi nyoo analeta dharau kwan yeye Sio mtanzania. Nakumbuka akati Niko shule ya msingi tulikuwa tunasoma mikoa yote. That means yeye Sio mtanzania
 
Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea huko sijui, MAMI-MTWARA sijui huko kwa wamakonde, hivi bi mdada huyu ni kweli hajui MTWARA inatamkwaje au ni dharau yake tu kwa wanamtwara? Ukiendelea na dharau zako hizo show zako za baikoko zitakudodea!
pole pachoto kwa kudharauliwa!

Hao ndo wasanii wetu!!full dramazz!!
 
hivi huyu kakosa project yyote ya maana na usomi wake aishie kuzunguka na midundiko mikoani?
kule malaysia alienda kusomea degree ya kupangilia mabwana na ukahaba?
ana mambo ya ajabuajabu nachukia hadi kumsikia.mwangalie klynn,nancy,lisa,nargis na wengineo thn yy.hata kama ni kuboost umaarufu lakin sio kwa vitu vya kipuuzi..umiss wenyewe aliupata kwa uchi.na yyte anaemshabikia huyu sio mzima kichwani
 
Acheni chuki binafsi yeye anatafuta fedha kila moja anajinsi ya kutafuta fedha bwana.yeye kabuni njia hiyo ya kupata fedha na kwako anaona inalipa mwacheni aendelee kupiga mzigo hujafungwa kamba kwenda kwenda kwenye vigoma
 
Back
Top Bottom