Wema huijui Mtwara au dharau kwa wanamtwara?

Wema huijui Mtwara au dharau kwa wanamtwara?

Hata me naona imekuuma sana mkuu usijali wenyewe wanaita swaga hizo
 
Acha unaa, CCM imeidharau Mtwara tangu tupate uhuru lakini kila siku wakija mnawachezea sindima mpaka asubuhi.
 
Back
Top Bottom