Wema kafanya birthday ya 30 bila zawadi ya gari, Zari kanunua Benzi mpya

Wema kafanya birthday ya 30 bila zawadi ya gari, Zari kanunua Benzi mpya

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.
0dcf43e8a31bacf50bfea55237ea5ad8.jpg
ef8d9d16e47614f7a869de4189c01eb1.jpg
b8dde62ee32aa3fc162996554b245f9e.jpg

Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
cfbe0685488dcba7d71302903b0e5dab.jpg
 
Acha umbea ww, bora hata yy ww unakumbuka hata tar ya kuzaliwa? Na huwa unafanyaje?
 
Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.
0dcf43e8a31bacf50bfea55237ea5ad8.jpg
ef8d9d16e47614f7a869de4189c01eb1.jpg
b8dde62ee32aa3fc162996554b245f9e.jpg

Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
cfbe0685488dcba7d71302903b0e5dab.jpg
so what
 
zawadi ya kuletewa ni tamu sio kujinunulia

Wewe mwanamke mbeya sana
 
Back
Top Bottom