Wema kafanya birthday ya 30 bila zawadi ya gari, Zari kanunua Benzi mpya

Wema kafanya birthday ya 30 bila zawadi ya gari, Zari kanunua Benzi mpya

Gari... Wakununua ndio shida. Bank azukopeshi tena au? JPM oyeeeeeeee......... Lazima pesa hiwe na thamani. Sio pesa za bangi tunatamba nazo. Ukinunua gari na kodi ulipe Mara moja.
 
upungufu wa siku za uhai.... zinashindaniwa kusherehekea.....!!!
wanadamu tuwatashi sana...
 
Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.
0dcf43e8a31bacf50bfea55237ea5ad8.jpg
ef8d9d16e47614f7a869de4189c01eb1.jpg
b8dde62ee32aa3fc162996554b245f9e.jpg

Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
cfbe0685488dcba7d71302903b0e5dab.jpg
Mlikuwa mnamtegea ili muanze kumfuatilia ili alipe kodi sio
 
Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.
0dcf43e8a31bacf50bfea55237ea5ad8.jpg
ef8d9d16e47614f7a869de4189c01eb1.jpg
b8dde62ee32aa3fc162996554b245f9e.jpg

Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
cfbe0685488dcba7d71302903b0e5dab.jpg
Makala nyingine buana
 
WanaDalesalama siku awahongi zaidi ya elfu 50 ....anko magu kaharibu mambo.
 
Too much hate is killing watanzania wallahi. .
Wema na Zari ni watu wawili tofauti, wanaishi maisha tofauti, why compare them in the first place [emoji57]
Usishangae sana! Maisha yanavyozidi kuwa tight chuki inaongezeka
 
Back
Top Bottom