Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sababu tu walichezea ubao mmojaHivi unamlinganishaje Wema na Zari
Mlikuwa mnamtegea ili muanze kumfuatilia ili alipe kodi sioTunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.![]()
![]()
![]()
Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa![]()
Mbona magu wanamlinganishaga na nyerere 😱Hivi unamlinganishaje Wema na Zari
Wanaongelea uzinduzi wa vi-wonderNdio hakina nani hao mnao waongelea?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanafananaMbona magu wanamlinganishaga na nyerere 😱
Makala nyingine buanaTunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.![]()
![]()
![]()
Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa![]()
Usishangae sana! Maisha yanavyozidi kuwa tight chuki inaongezekaToo much hate is killing watanzania wallahi. .
Wema na Zari ni watu wawili tofauti, wanaishi maisha tofauti, why compare them in the first place [emoji57]