Wema kafanya birthday ya 30 bila zawadi ya gari, Zari kanunua Benzi mpya

Hivi ana nyumba? Mimi hamna kitu namuheshimu MTU kama kujiongeza kuwa na nyumba kuna SAA unashangaa MTU kama wema anakosaje nyumba ya milioni 50? Ni kuishia kupanga tena nyumba nzima but why jaman?na hii system ni ya wasanii karibun wote Bongo jamani igeni WCB pale Boss chibu hatak utan kwanza nguo zenyewe anavaa nyeusi ili ajibane pesa inaingia kwny Karanga...siyo kina mbasha kila siku kuvaa masuti ya njano bila kujua ananufaikaje....ebu muigeni basi hata msukuma masanja...
 
Hata Hamorapa anasema hampendi tena ashakuwa bibi.
 
Safari hii wema kapewa mbuzi, dah from murano na BMW to mbuzi chinekeee
 
Bwana wao CK ananyea Debe na Hakuna Mfadhili Mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…