Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Diamond ka post kwenye IG kwamba kidogo

Alichoweza mzawadia Wema ni Gari la aina ya Nissan Murano kama birthday present

Si juzi tu hawa walilikisha habari kuwa

Diamond ana vikao vya Harusi.
 
Mbona ile BMW ya mcongo hamuiongelei? Martin kadinda kaiwakilisha kwa niaba ya mcongo. Kadinda kazi yake ni ukuwadi ndo anayoweza na ndo anayoifanya sasa kwa lulu michael. Ndo maana wema alipoachana na clement wa ikulu kadinda alikosa kazi na kuamua kuachana na umeneja wa wema. Sasa baada ya mcongo kuingia kadinda anajaribu kurudisha ajira yake na kushauri mcongo aka kijumos kumuhonga wema gari ya maana kuliko aliyohongwa na diamond. Ili kumdhalilisha diamond aachane na wema ili wema arudi kwenye soko na yeye kadinda arudi kumkuwadia.
 
jamani naombeni kujuzwa.
NA anty shoga yake waukweli alimzawadia nin? Vipi mama wema alikuepo? NA mama mama dai jee??
 

Wamjua seba weyeee?
Em tafta khabar zake uzur!
Af kipind kama hiki ndo napommisiga warumi
hapa mambo yengekuwa burdaaani!
 
Last edited by a moderator:


Hiyo BMW ndio hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…