Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ile BMW ya mcongo hamuiongelei? Martin kadinda kaiwakilisha kwa niaba ya mcongo. Kadinda kazi yake ni ukuwadi ndo anayoweza na ndo anayoifanya sasa kwa lulu michael. Ndo maana wema alipoachana na clement wa ikulu kadinda alikosa kazi na kuamua kuachana na umeneja wa wema. Sasa baada ya mcongo kuingia kadinda anajaribu kurudisha ajira yake na kushauri mcongo aka kijumos kumuhonga wema gari ya maana kuliko aliyohongwa na diamond. Ili kumdhalilisha diamond aachane na wema ili wema arudi kwenye soko na yeye kadinda arudi kumkuwadia.
Kwanini asimnunulie kiwanja?

Hahaaaa!!!!Mjini heshima gari...nyumba hata mbuzi anayo...
Akizawadiwa kiwanja wachimba chumvi tutakomeshwaje? Atatembea na hati usoni? Acha aturushe roho na mjigari huooo....!
Hahaaaa!!!!
Umbea raha!
Acha tuchapwe bakora za macho!!!!!
Habari ndio hiyo!Wambea tumenyweeaa....tunasikilizia bakora za msuto...
Haya mahaba yao kiboko....ila washasena maumivu yakizidi tulambe ndimu....