tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kwahiyo Wema kapewa gari mbili kwa mpigo? Au filamu zinaendelea ndio movie mpya ya kuingizwa sokoni?
Mie nimejikamulia kindoo kidogo cha ndimu...
Silambi
Nakunywa....
Me hapa nashushia juisi ya limao na panadol
Kuna watu wana nyota kali kweli, anaitenga tu K watu wanaleta magari dabodabo wakati wengine wanajituma haswa lakini hata ahadi tu ya phonex hawajawahi pewa!
Kasema anakuja kweli jamani???maana hapa nina mafua na kichwa kinaniuma balaa
Basi kichefu chefu chako kikali shoga angu..basi tengeneza juisi ya ndimu unywe kutwa mara tatu...nyingine paka kidogo machoni...
Kwani kila anaepewa gari lazima atangazee, mbona kuna watu wanawanunulia kila kitu,sema Wema ni maarufu lazima mtasema hivyo lakini ni kawaida tu hayo haitishii sanaaa
Wanatishika ambao hawajawah kununuliwa magari na wapenzi wao au waume wao
Wambea tumenyweeaa....tunasikilizia bakora za msuto...
Haya mahaba yao kiboko....ila washasena maumivu yakizidi tulambe ndimu....
K Lyn yupo zake kimya anakula mema ya nchi na bwana Machache. Hawana kelele hawa kelele ni utamaduni wa Malofa ambao hawakutalajia kuwa walivyo.
Hahahaaa,uwiiii jamani nimecheka eti apake machoni!!!!
Kwa hiyo umelazwaa auuu pole zamu kwa zamu usijaliii
Ndio hivyoo siku zote maskini hua wana kelele hata wakipika dagaa wataweka viungo vya pilau ila linukie mtaa mzima wajue wanakula pilau Matola mi mpaka niaminii watuwekee kadi tuone hayo majina ni ya wema hapo ndio watatuua kabisa lakini hivi hiv bado sanaaaaaaa
Hivi alimkabidhi gari na kadi au kampa funguo tupu?
Ukute kadi bado ipo kwa Ruge...hebu vuta subira kwanza...