tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Ina meno madogo madogooo
Ht mm naona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina meno madogo madogooo
Nipeni namba ya gari nitawaletea jina la mmiliki kwenye kadi. Hizi doromee wanapigwagwa Makorongwee tu siyo sisi wajuaji.
Ushamba unatusumbua sana watanzania mungu tusaidie hivi tuweni wa kweli mwanamke kama huyo wema ni wa kuhongwa hata hiyo gari.
Binafsi mimi hata bure simtaki mileage imeenda utafikiri taxi.
Na kwenu visupastaa vya bongo acheni ufala komaeni na maisha acheni ujinga fanyeni kazi zenu na starehe zenu kivyenu sio mpaka mtuoneshe wengine tumewazidi sana yani sana tu kwa hivyo huwa tunawaona kama vikatuni
sisi ni wabongo tu hata mfanye nini!!! Birthdy imekuwa birthday utafikiri beyonce na jay z. Acheni ulimbukeni ndo maana mungu nae huwa hawacheleweshi anawaumbua . Kama majina mnayo sasa mnataka nini kingine nina uhakika asilimia milioni moja kuna ndugu zenu wengi tu wana shida mngeweza kuwasaidia kwa hivyo vijisenti lakini eti mko busy na birthday eti ya kifahari( mkasome maana ya fahari).
Tangu tarehe 29 tunasubiri utuletee jina hola.....,
maneno mengi vitendo hakuna haya kadi hiyo nadhani ushamuona mmiliki Mpwa
![]()
Mpwa mbona hii kadi ya garh ipo robo? Imeshindikana kuiupload kadi nzima?
Mimi sina chuki na mtu ila nina akili.
Tangu tarehe 29 tunasubiri utuletee jina hola.....,
maneno mengi vitendo hakuna haya kadi hiyo nadhani ushamuona mmiliki Mpwa
![]()
Mkuu mahaba yako ukiyahamishia kwa shemeji I see na wewe birthday yako ijayo mambo yatakua si haba.......lol.
Mkuu mahaba yako ukiyahamishia kwa shemeji I see na wewe birthday yako ijayo mambo yatakua si haba.......lol.
yaani hiyo video hata me nataka iletwe huku jamani maana maneno aliyoongea yule mama ni aibu kwa umri wale
ameniacha hoi alivyomtukana kajala na wazazi wake. eti kajala kamwibia wema mume looh aibu jamani ..
Endelea kutudokeza kidogo basi jamani