Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

Ushamba unatusumbua sana watanzania mungu tusaidie hivi tuweni wa kweli mwanamke kama huyo wema ni wa kuhongwa hata hiyo gari.
Binafsi mimi hata bure simtaki mileage imeenda utafikiri taxi.

Na kwenu visupastaa vya bongo acheni ufala komaeni na maisha acheni ujinga fanyeni kazi zenu na starehe zenu kivyenu sio mpaka mtuoneshe wengine tumewazidi sana yani sana tu kwa hivyo huwa tunawaona kama vikatuni
sisi ni wabongo tu hata mfanye nini!!! Birthdy imekuwa birthday utafikiri beyonce na jay z. Acheni ulimbukeni ndo maana mungu nae huwa hawacheleweshi anawaumbua . Kama majina mnayo sasa mnataka nini kingine nina uhakika asilimia milioni moja kuna ndugu zenu wengi tu wana shida mngeweza kuwasaidia kwa hivyo vijisenti lakini eti mko busy na birthday eti ya kifahari( mkasome maana ya fahari).
 
Nipeni namba ya gari nitawaletea jina la mmiliki kwenye kadi. Hizi doromee wanapigwagwa Makorongwee tu siyo sisi wajuaji.

Tangu tarehe 29 tunasubiri utuletee jina hola.....,
maneno mengi vitendo hakuna haya kadi hiyo nadhani ushamuona mmiliki Mpwa
attachment.php
 
Ushamba unatusumbua sana watanzania mungu tusaidie hivi tuweni wa kweli mwanamke kama huyo wema ni wa kuhongwa hata hiyo gari.
Binafsi mimi hata bure simtaki mileage imeenda utafikiri taxi.

Na kwenu visupastaa vya bongo acheni ufala komaeni na maisha acheni ujinga fanyeni kazi zenu na starehe zenu kivyenu sio mpaka mtuoneshe wengine tumewazidi sana yani sana tu kwa hivyo huwa tunawaona kama vikatuni
sisi ni wabongo tu hata mfanye nini!!! Birthdy imekuwa birthday utafikiri beyonce na jay z. Acheni ulimbukeni ndo maana mungu nae huwa hawacheleweshi anawaumbua . Kama majina mnayo sasa mnataka nini kingine nina uhakika asilimia milioni moja kuna ndugu zenu wengi tu wana shida mngeweza kuwasaidia kwa hivyo vijisenti lakini eti mko busy na birthday eti ya kifahari( mkasome maana ya fahari).

Eti hata bure humtaki....ye amekwambia anakutaka?????
nyie watu mna mambo ka kidogo..........

kama hukujua siku moja kabla Party ya birthday kufanyika Wema alitembelea watoto
yatima na kutoa misaada kwenye vituo husika
 
Mpwa mbona hii kadi ya garh ipo robo? Imeshindikana kuiupload kadi nzima?

Mimi sina chuki na mtu ila nina akili.

Hiyo screen shoti picha yote yagoma ku upload.....

au we una jina la mmiliki ushalipata????????
 
Tangu tarehe 29 tunasubiri utuletee jina hola.....,
maneno mengi vitendo hakuna haya kadi hiyo nadhani ushamuona mmiliki Mpwa
attachment.php

Mkuu mahaba yako ukiyahamishia kwa shemeji I see na wewe birthday yako ijayo mambo yatakua si haba.......lol.
 
Hhhhhhhhhaaa ............ky......
yako lamba ndimu zamu yako
 
Heaven on Earth keep cool my dear kama kuna mtu kakuudhi msamehe ndio maisha na @Dinazarde tulia pia msigombane. I like u both kama mlikosehana msameheane japo naona HOE kaumia sana sijui mlianzia wapi........ila sameheaneni tu
 
Last edited by a moderator:
Dinaaaaaaaa
Hivi ni nani msaidizi wa #warumi jama atuletee video ya aliyoyasema mama sepetunga katika bday.. ni aibuu

yaani hiyo video hata me nataka iletwe huku jamani maana maneno aliyoongea yule mama ni aibu kwa umri wale
 
yaani hiyo video hata me nataka iletwe huku jamani maana maneno aliyoongea yule mama ni aibu kwa umri wale

Analalamika kuchorwa uchi..

Nafikiri ana deserve zaidi ya hilo..
 
ameniacha hoi alivyomtukana kajala na wazazi wake. eti kajala kamwibia wema mume looh aibu jamani ..
 
Endelea kutudokeza kidogo basi jamani

kiufupi alikuwa anawatukana walio edit picha yake.pia akamtukana kajala na wazazi wake.hiyo video inasambaa sana leo watsap
 
Back
Top Bottom