Wema kawekeza zaidi ya bilioni 7 kwenye biashara ya vipodozi

hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Haaa uongo mtupu anajaribu kuficha aibu ya vipodozi vyake kutouzika lazima wema kawaomba wa global wamwandike hivyo

Vipodozi wiki moja vimedoda hadi ameanza kuhuza kwa nusu bei, kawaida angekuwa nannyota vingeisha na kuomba watu wasubirie vingine.

Kuhusu Movie aaagh nakufa mbavu ya Van Vicker wa Ghana hafi leo movie haijatoka nadhani kaka yule hakujua kisima gani cha maji aliingia alipokubali kucheza naye movie

Anahamu ya kuwa juu, Kanumba na wengine tunajua ndio walioweka bongo movie mjini. Hana hata movie aliyotoa miaka iliyopita iliyozungumziwa

Aache tabia sasa ya kutafuta ujiko wa kuwa yeye tajiri wakati watu wengine wanawekeza na biashara kama ya vipodozi sio yake asilimia 100% hata 50%, tena utajiri wa naniniiii
 
Acheni kumpamba huyo Wema..hv mnafanya mchezo na uwekezaji wa Billion.7?uwekezaji wa Billioni saba ndo uishie kwenye ka Frame ka Pale Mwenge karibu na maghorofa ya jeshi?nyie watuu..daah..iko hv..huyo wema kimsingi anatumika na jamaa mmoja ambaye ana kampuni inayouza software inayoitwa Problem Solved,Software inayotumika kwa maduka/supermarkets kwa ajili ya mauzo..sasa alimpa mtaji na kumtumia Wema kuwa Front..unafanya mchezo na Billion.7?na kwa taarifa yenu,lile gari alilopewa kwenye birthday ya mwaka jana,ambalo lilivunja uhusiano na diamond,pamoja na hili la mwaka huu,yote yametoka kwa Sebastian Ndege,yeye ndo yuko nyuma ya pazia..Wema ataendelea kuishi kwa kutegemea watu kumuweka mjini mpaka hapo atakapojipanga yeye kama yeye..Eti Billion.Saba..mfyuuuuuu++++
 


Wema yupi??,

Yule Mwenye michirizi?
 


Wema yupi??,

Yule Mwenye michirizi? Na ndambi?
 
wema bila kiki haishi kabisa...akiona watu wanamsahau lazima aje na viroja.
 
BILIONI?? BILIONI ya kuandika kwa maneno au pesa?
 
hivi wewe msaga sumu ni me au ke???? maana napata wasiwasi wa jinsia yako kwa thread uliyoileta, na kama wewe ni me basi utakuwa na matatizo makubwa sana.
 
Hahahaahah wazee wa kuongeza sifuri...

hahaaa ndio maajabu hayo lady jay d alinunua 90m mwaka juzi.....huyu bibi kapewa la sauzi anadai cost yke 200m ........ngoja ukute la uwizi ndio atajua wajanja wa dar
 

duuuuh mbna kma promo kwa seba mana yeye mwenyewe point imebana kuhonga ni kipaji.....nenda mwz n uliza habari y seba utaambiwa hali c hali....madeni ni mengi na hayalipiki ungesema hiyo bmw ndio alimhoga sawa bt sio range.....kuna hotel alikua anakaa mwz anadaiwa hela y kutosha na kulipa imeshindikana.......hali c hali
 
wema bila kiki haishi kabisa...akiona watu wanamsahau lazima aje na viroja.

hahaaa ndio anamalizia 2015 mlikua mmemsahau mda mara mwaka jana alifunga ndoa......mwaka huu kafunga ndoa tena kweli maajabu....mhalafu mbna wadada w mjini hawakui ninishida angalia picha y hiyo pati yke wengi wanaumri mkubwa ila wanaakili kma z wema ndio marafiki n mashabiki wke.....au nao wauza mpapaa yamejikoboa hatariii sherehe nzima shabaranks ndio mweusi wengine wote weupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…