Wema kutoka ule mpaja hadi kipaja hiki, ni ugonjwa au diet?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Kweli kati ya wadada wenye bidii wema unastahili pongezi umetoka kuwa nyambizi hadi kuwa kipotabo kweli wewe na zari mnajitambua siyo kama msanii moja kutwa eti mahari yake million 20 alafu nyambizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hongera wema....
 
Kwa hiyo kwa sasa ana kachura kakunyunyiza? Au kalio lenyewe halijayeyuka?
 
Hii kitu haijawahi kumwacha mtu salama. Katumbo kanabaki kadogo. Huwezi kula zaidi. Ila ubaya ni kwamba utakosa nutrients muhimu kwa limitation ya kutokula chakula kingi. Ni hatari kwakweli na hii non reversible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…