Wema kutoka ule mpaja hadi kipaja hiki, ni ugonjwa au diet?

Wema kutoka ule mpaja hadi kipaja hiki, ni ugonjwa au diet?

Elastic...

Tumbo litapanuka tu ukishindilia ugali wa kisukuma whole year
Hii kitu haijawahi kumwacha mtu salama. Katumbo kanabaki kadogo. Huwezi kula zaidi. Ila ubaya ni kwamba utakosa nutrients muhimu kwa limitation ya kutokula chakula kingi. Ni hatari kwakweli na hii non reversible View attachment 1282157
 
Si nilisikia alikatwa Utumbo Kama BIGBOY?

BIGBOY BEFORE.
BIGBOY.jpg

BIGBOY2.jpg

AFTER SURGERY.
BIGBOYthin.jpg
 
Dalili ya umasikini na majungu ni mtu kupenda kujadili mambo ya mtu mwingine tena yasiyo na msingi kabisa! Huo ni ujuha uliokubuhu
Alivyokuwa vile mlisema ni mchina sasa amepungua mnasema tena ni ugonjwa, mnataka aweje?
Wakati we unadiscuss mapaja yake yeye anaishi maisha yake na anazidi kufanikiwa.
 
Unene haulipi huo ndio ukweli, kachungulia fursa, sasa wabongo mtu akinenepa kaanza Dozi akipungua stage 3, pathetic.

Hongera kwake Wema na wadada wote wanaojali afya zao.
 
Mimi huyu hata kanipa leo,naingia mazma,stajal strigles gorge!haishi utamu ile kitu amin!
 
Alivyokuwa vile mlisema ni mchina sasa amepungua mnasema tena ni ugonjwa, mnataka aweje?
Wakati we unadiscuss mapaja yake yeye anaishi maisha yake na anazidi kufanikiwa.
anazidi kufanikiwa kwa lipi hasa
 
Back
Top Bottom