Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Elastic...
Tumbo litapanuka tu ukishindilia ugali wa kisukuma whole year
Tumbo litapanuka tu ukishindilia ugali wa kisukuma whole year
Hii kitu haijawahi kumwacha mtu salama. Katumbo kanabaki kadogo. Huwezi kula zaidi. Ila ubaya ni kwamba utakosa nutrients muhimu kwa limitation ya kutokula chakula kingi. Ni hatari kwakweli na hii non reversible View attachment 1282157