Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

Hiki chakula cha wanaume wa dar,in katarina's voice[emoji23] [emoji23]
1471527725882.jpg
 
Mimi sitaki kuskia habari za wema kwani zimeshatuchosha.

Nataka kujua huo utofauti wa Wanaume wa Dar na wa Mikoani.

Can someone give out those differences?
Wanaume wa mikoani washamba wanasubiri soda za bure airpot
 
kuna jamaa aliniambia kuwa video mbili za singeli;kazi ya prof jay na ile hainaga ushemeji ya man fongo,zinaakisi kwa asilimia kubwa utamaduni wa wanaume wa dar,nikiangalia naona style za kucheza wanazocheza wanaume nacheka tuu.inaonesha dar ni soko kubwa sana la vilainishi😀😀😀😀
 
Wanaume wa mikoani wanafitina sana...ndoto zao ni kufika dar lakini wakiwa mikoani wanajifanya kutusema vibaya, kisa tunakuwa wa kwanza kufaidi matukio yote muhimu!!!

Bango
 
Back
Top Bottom