kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
WADAIWA KUWA NA UTOFAUTI MKUBWA NA WA MIKOANIWanaume wa Dar!
Hongereni sana wanaume wa Dar.wanaume wa Dar wanajielewa wanajipenda na wanajua nn wanawake wanakitaka
Wa mikoani ni wanaume uchwara msingi miguvu tuuu!!
Yani Jf imewasababisha wamefika hatua ya kuandikwa kwenye magazeti.Hahaaaa kumbe Jf mtandao mkubwa Sana asee yaani hii ya "Wanaume wa Dar" ishakiki hivo.. Asante jf
Hiyo habari bila ubishi wameitoa humu humu JF..Yani Jf imewasababisha wamefika hatua ya kuandikwa kwenye magazeti.
Jf is the place to be.
Wanaume wa mikoani washamba wanasubiri soda za bure airpotMimi sitaki kuskia habari za wema kwani zimeshatuchosha.
Nataka kujua huo utofauti wa Wanaume wa Dar na wa Mikoani.
Can someone give out those differences?
Mimi sitaki kuskia habari za wema kwani zimeshatuchosha.
Nataka kujua huo utofauti wa Wanaume wa Dar na wa Mikoani.
Can someone give out those differences?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] proudly jfYani Jf imewasababisha wamefika hatua ya kuandikwa kwenye magazeti.
Jf is the place to be.
Kabisa mkuu alafu ilianza Kama utani etiHiyo habari bila ubishi wameitoa humu humu JF..
No comment.Acha kabisa, achana na mwanaume anaeshindia kipande cha muhindi, alichokipaka chumvi na ndimu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa Dar[emoji23][emoji23][emoji23]
kaoge si mwanaume wa dar huyo?Wanaume Wa dar wanatumia vilainishi kwa wanaume wa mikoani kama akina kaoge [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kaoge mwanaume wa mkoankaoge si mwanaume wa dar huyo?
anaishi wapi?Kaoge mwanaume wa mkoan
Hata kama anaishi dar huo uchafu wake kaanza kuufanyia mkoanianaishi wapi?
WEMA;asema kwa Diamond kutoka anashindwa,asema Idris a same we bure!!!View attachment 383429