Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEMA Kwa "UCHUNGU" Akanusha Kuhusu DIAMOND KUMUOA
Hahahaha watu wengi hawajui matumizi ya adjectives na nouns. Nimeisikikza hiyo clip anavyofanya code switching nibala. Angetumia lugha moja.Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Huyu Wema kuzaa ndio issue.....Hahahaha watu wengi hawajui matumizi ya adjectives na nouns. Nimeisikikza hiyo clip anavyofanya code switching nibala. Angetumia lugha moja.
Back to the topic nikweli kwamba Diamond kapeleka barua ya posa ameamua kutulia kwa Wema kagundua wema ndo alikua na mapenzi ya kweli kwake. Lakini zari na Hamisa wote ni gold diggers. Nakikao cha pili kitafanyika kwa dadayeke Kannesepetu. Hongera wema. Laba jini mkta kamba aimgilie kati. Bora ulie ju ya Range kuliko ju ya baiskeli mama
Ni noun na adjective mkuuHapo ni suala la verb na adverb mkuu.
Correct!Ni noun na adjective mkuu
WEMA Kwa "UCHUNGU" Akanusha Kuhusu DIAMOND KUMUOA
Sasa yeye according to the context. She was supposed to say I'm very WesternisedVyote sawa kutegemea na muktadha.
Ni kama kusema nimevurugwa na nimevurugika.
I'm Westernized unasema umefanywa kuwa kimagharibi. Msisitizo ni -ized kwamba umefanywa kuwa hivyo.
I'm very Western unaeleza ulivyo. Uko Kimagharibi zaidi.
I'm very local. I'm very localized.
I'm very Swahili. I'm very Swahilized.
I'm very English. I'm very Anglicized.
Very western union.Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Well said ila ukimsikiliza alimanisha A akajikuta katamka BMkuu hua mara nyingi naogopa kukujibu lakini kwa kuwa umeomba clarification, here comes:
Kama tukitumia neno Western kumaanisha Uzungu (katika mila na desturi) basi jibu ni hivi.
"I am westernized" ni kwamba yeye ni M'bongo lakini ana tabia za kizungu.
"I am western" ni kwamba yeye ni mzungu (kwa mila na desturi) ingawaje anaishi bongo.
It is a mind set. Both are correct.
Unaweza kuwa sahihi. Mara nyingi hua simuelewi huyu mama anamaanisha nini.Well said ila ukimsikiliza alimanisha A akajikuta katamka B
....daah ! Kanikeraje mleta mada !Yani bora hata hujaangalia manake hakuna cha maana alichoongea
Mkuu usi-panic hiyo ni kama kuchapia....Unaweza ukaongea kiswahili na ukachapia piaHuyu wema na kiingilishi sijui kwanini anakipenda na huku chenyewe hakimtaki..! A is correct.
Duh kumbe umri umemtupa mkono au ndio make up hajapakaa [emoji26]
Sijakupa muktadha, nimekupa mfano. Elewa tofauti.Sawa, zinataka muktadha na wewe ndio umetupa muktadha huo, uswahili kwa sababu wahusika ni waswahili.
Nakuuliza, mswahili anaposema yeye ni "very western" anajinasaba na uswahili?
Ukiwa westernized matokeo yake unakuwa Western. Ukivishwa nguo matokeo yake unakuwa si mtupu. Mtu akisema mimi si mtupu nina nguo, hajasema kwamba kajivika au kavikwa.Sasa yeye according to the context. She was supposed to say I'm very Westernised