Wema kwa "uchungu" akanusha kuhusu diamond kumuoa

Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Hahahaha watu wengi hawajui matumizi ya adjectives na nouns. Nimeisikikza hiyo clip anavyofanya code switching nibala. Angetumia lugha moja.

Back to the topic nikweli kwamba Diamond kapeleka barua ya posa ameamua kutulia kwa Wema kagundua wema ndo alikua na mapenzi ya kweli kwake. Lakini zari na Hamisa wote ni gold diggers. Nakikao cha pili kitafanyika kwa dadayeke Kannesepetu. Hongera wema. Laba jini mkta kamba aimgilie kati. Bora ulie ju ya Range kuliko ju ya baiskeli mama
 
Huyu Wema kuzaa ndio issue.....
 
Sasa yeye according to the context. She was supposed to say I'm very Westernised
 
Well said ila ukimsikiliza alimanisha A akajikuta katamka B
 
Ukiona Mange kapost umbea jua ukweli uko especially wa maceleb njiani. Nalikatazwa kuusemea tena huo umbea hadi bi sandra kasema bora chizi wake wema kuliko hawa wawili
 
Huyu wema na kiingilishi sijui kwanini anakipenda na huku chenyewe hakimtaki..! A is correct.
Mkuu usi-panic hiyo ni kama kuchapia....Unaweza ukaongea kiswahili na ukachapia pia
 
Duh kumbe umri umemtupa mkono au ndio make up hajapakaa [emoji26]
 
Sawa, zinataka muktadha na wewe ndio umetupa muktadha huo, uswahili kwa sababu wahusika ni waswahili.

Nakuuliza, mswahili anaposema yeye ni "very western" anajinasaba na uswahili?
Sijakupa muktadha, nimekupa mfano. Elewa tofauti.

Ukitaka muktadha angalia video halafu ongea na Wema.
 
Sasa yeye according to the context. She was supposed to say I'm very Westernised
Ukiwa westernized matokeo yake unakuwa Western. Ukivishwa nguo matokeo yake unakuwa si mtupu. Mtu akisema mimi si mtupu nina nguo, hajasema kwamba kajivika au kavikwa.

Context nyingine labda kumuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…