Wema kwa "uchungu" akanusha kuhusu diamond kumuoa



Tunga sentensi kwa kiingereza kama Wema Sepetu:

I'm very Taborized.
I'm very Mbeyalized.
I'm not very Zanzibarized.
I'm very Tangalized.
I'm very njaalized.
I'm very shibalized.
I'm very shimbonilized.
I'm very kamwenelized.
I'm very Kikwetelized.
 
Tatizo la wema hataki kukubali kwamba amekwisha.Mwili un amabuja kama anakula hamira amuoe nani huyo
 
Sijakupa muktadha, nimekupa mfano. Elewa tofauti.

Anhaa, muktadha huujui.

Haya maneno yako hapa chini kwa nini yanatuambiwa muktadha ni nini ilhali huujui?

Kama hapo maongezi ni ya katika jamii ya Waswahili, muongeaji akisema hivyo, kwa muktadha, atachukuliwa kwamba anasema yeye anajinasaba na umagharibi zaidi ya mswahili wa jedwali la kawaida.

Sasa hivi unajiweka mbali na Wema, unanambia niongee na Wema, wakati ni wewe ndio ulichupa kutufafanulia maneno ya Wema. Unaongelea muktadha wakati unakiri huujui, baadae unaruka maneno yako ya kutuletea muktadha. Labda ungekuwa unapitia mara moja zaidi kabla ya kutundika maandishi yako, unasomwa na watu wa kada na upeo wa kila aina, sio waumini peke yake. Ni hayo tu.
 

Kwanza kabisa kujadiliana na mtu anayechukua wiki kadhaa kujibu ni kero. Unaua flow ya mjadala.

Pili, muktadha nilioutaja ni wa nini? Unajua kusoma?

Maneno yamekwambia muktadha ni wa nini wapi? Unafahamu maana ya neno "kama" ? Mimi nitajuaje muktadha wakati video sijaangalia na wala sina mpango wa kuangalia hata kama nikilipwa?

Wapi nimefafanua maneno ya Wema? Nitafafanua vipi maneno ambayo sijayasikia? Unajua kusoma wewe?

Wewe acha kuparamia mambo kwa kuyasoma kingumbaru.

Mimi siposti kwa kutafuta approval ya waumini, wapinga papa, vipapa au wewe.
 

Hahahaaaa.

Huyo mshikaji mimi nishamweka kwenye ignore list.

Ye kazi yake humu utadhani ni kutafuta dosari tu kwenye mabandiko ya watu.
 
Hahahaaaa.

Huyo mshikaji mimi nishamweka kwenye ignore list.

Ye kazi yake humu utadhani ni kutafuta dosari tu kwenye mabandiko ya watu.
Kutafuta dosari si mbaya,inawezakuwakaziinayohitajika.

Lakiniunapotafuta dosari,basiangalau uwe na logical consistency.

Sasa mtu ana extrapolate kwa kutumia hypotheticals na kuweka caveat ya "kama" kabisa.

Halafu anakuja ngumbaru mmoja ambaye hajuikusoma hata haelewi kwamba kinachoongelewa hapo ni a hypothetical construct, si alichosema Wema.

Naye atajiona mkosoaji huyu au ngumbaru tu asiyejua kusoma?
 
Hujafafanua maneno ya Wema?

Hapa ulikuwa unasema umefafanua maneno ya nani?
Fu.ck.

I wanted to ask you this last time but refrained out of sheer respect for happenstance.

Do you get access for the internet every once in a month or something?

You are killing me with your monthly periodicals slowpoke.

I answer 500 people on 500 topics in between your posts.

I could hardly remember what you farted the last time you smelly rat.
 

Sidhani kama siku nyingine utarudia kuja "kufafanua" na kutoa "muktadha" wa vi clip vya ndoa za Wema Sepetu. Video hujajali kuiangalia lakini umejali kuja "kufafanua" na kutoa "muktadha" wa ki video chake, daaaah... hurudii haki ya nani.
 
Sidhani kama siku nyingine utarudia kuja "kufafanua" na kutoa "muktadha" wa vi clip vya ndoa za Wema Sepetu. Video hujajali kuiangalia lakini umejali kuja "kufafanua" na kutoa "muktadha" wa ki video chake, daaaah... hurudii haki ya nani.
Tatizo ni kwamba hata siku nyingine nikirudia, utachukua mwezi kunijibu.

Na utaponijibu, nitakuwa sikumbuki mtiririko mzima ulikuwa na muktadha gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…