Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Sijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
Mtazamo wako tu mkuu
 
kati ya vitu ambovo mondi amekosea ni [HASHTAG]#kumuajiri[/HASHTAG] huyu dada yan wema ilitakiwa awe mtazamaji tu wa hyo media cjui wanaume [HASHTAG]#wamelogwa[/HASHTAG] na nani,
 
Wasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Aisee hafanyi move bila plan mond muacheni tu maana kama kutabiriwa kufail anabariwaga kila siku lakini anazidi songa...
Atakuwa kalenga kitu ndiyo maana hajamwajiri dada yake yule esma
 
Sijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
Ndio ustaa huo. Hukuona anashikashika nyweli kama mzungu huku uhalisia hayo ni makatani kaweka kichwani na nywele zake ahalisizimejaa mvi na kanyoa kipara???
 
Wasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Kama ni kweli Diamond amemuajiri wema basi ni akili kubwa ya kibiashara. Wema ni megastar kwa Tanzania. Anao fans wengi na haters pia. So kipindi chake ikiwa atakuwa ni 'host' basi ni 'lazima' atapata viewers wengi.
 
Ndio ustaa huo. Hukuona anashikashika nyweli kama mzungu huku uhalisia hayo ni makatani kaweka kichwani na nywele zake ahalisizimejaa mvi na kanyoa kipara???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba zimejaa mvi
 
Kweli, ni mtazamo wangu mkuu. Lakini naona kwa hali ya kawaida tu haipendezi.
Take it easy mkuu, angekuwa mzungu poa, wema dharau, Maisha ni jinsi unavyoyachukulia wewe mwenyewe, si unaona hapo mi nimeona kasema poa kinoma.
 
Kaongeaaa sana wee blah blah blah.. kashindwa tu kusema kuwa wapo wote kimapenzi pia.. chemistry... Zari kamuachia uwanja sasa na watanue vizuri
Dada wa watu wa kiganda hakujua kuwa ukipigana na mbongo huwa hakubali kushindwa, ni lazima aende upande mwingine wa shilingi matunge herbalistic clinic mshana jr mtimkavu2 kuhakikisha kuwa anapindua matokeo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…