Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtazamo wako tu mkuuSijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
wema anampenda sana diamond uso wake unaeleza hivyo
Mtazamo wako tu mkuu
Aisee hafanyi move bila plan mond muacheni tu maana kama kutabiriwa kufail anabariwaga kila siku lakini anazidi songa...Wasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Ndio ustaa huo. Hukuona anashikashika nyweli kama mzungu huku uhalisia hayo ni makatani kaweka kichwani na nywele zake ahalisizimejaa mvi na kanyoa kipara???Sijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
Kama ni kweli Diamond amemuajiri wema basi ni akili kubwa ya kibiashara. Wema ni megastar kwa Tanzania. Anao fans wengi na haters pia. So kipindi chake ikiwa atakuwa ni 'host' basi ni 'lazima' atapata viewers wengi.Wasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Ndio ustaa huo. Hukuona anashikashika nyweli kama mzungu huku uhalisia hayo ni makatani kaweka kichwani na nywele zake ahalisizimejaa mvi na kanyoa kipara???
bas ashukuriwe aliyehainimejaa tele dear1
Take it easy mkuu, angekuwa mzungu poa, wema dharau, Maisha ni jinsi unavyoyachukulia wewe mwenyewe, si unaona hapo mi nimeona kasema poa kinoma.Kweli, ni mtazamo wangu mkuu. Lakini naona kwa hali ya kawaida tu haipendezi.
for sure..hopefully uko poabas ashukuriwe aliyehai
Dada wa watu wa kiganda hakujua kuwa ukipigana na mbongo huwa hakubali kushindwa, ni lazima aende upande mwingine wa shilingi matunge herbalistic clinic mshana jr mtimkavu2 kuhakikisha kuwa anapindua matokeo??Kaongeaaa sana wee blah blah blah.. kashindwa tu kusema kuwa wapo wote kimapenzi pia.. chemistry... Zari kamuachia uwanja sasa na watanue vizuri
Dr Shika upo hai kumbeTutaona mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dr Shika upo hai kumbe