Hakuna kitu kwa Wema..Domo anamkubali sana hamisa, na huyo demu ndo kamfanya Zari kamwaga manyanga trust me!DP pia atakuwa anampenda pamoja na yaliyojiri kati yao. Hiyo ajira ni ya kuzugia tu lakini ukweli ni kwamba wanaendelea kuvuana picchu.
Haaaaa haaaaa....uwiii, eti mvi na kanyoa paraa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio ustaa huo. Hukuona anashikashika nyweli kama mzungu huku uhalisia hayo ni makatani kaweka kichwani na nywele zake ahalisizimejaa mvi na kanyoa kipara???
Haaaaa nimecheka balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba zimejaa mvi
Hata kama ipo haionekani!Hivi wema anatofauti na wale sleeper wa kona?
Why unamuitamwenzio demu,ukiitwa wewe hivo jeHuyu "demu" fake sana
Period!
Hakuna kitu kwa Wema..Domo anamkubali sana hamisa, na huyo demu ndo kamfanya Zari kamwaga manyanga trust me!
Wale wana nafuu,wema anajaza yutong 8Hivi wema anatofauti na wale sleeper wa kona?
DP amuoe tu Wema. Maana kila aki date ke wengine, sababu ya kuachana nao huwa ni huyu bidada. Inavyoonekana DP & Wema hawajawahi kuachana, huwa wanamumzishwa tu na mashabiki wao.DP pia atakuwa anampenda pamoja na yaliyojiri kati yao. Hiyo ajira ni ya kuzugia tu lakini ukweli ni kwamba wanaendelea kuvuana picchu.