witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Niite hivyo....kwani ukimuita mtu demu anachubuka ngozi?Why unamuitamwenzio demu,ukiitwa wewe hivo je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niite hivyo....kwani ukimuita mtu demu anachubuka ngozi?Why unamuitamwenzio demu,ukiitwa wewe hivo je
Who?...Si kwa mpenda papuchi DP. Siku yeyote akitaka kumvua picchu atamvua tu.
Hivi wema anatofauti na wale sleeper wa kona?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale wana nafuu,wema anajaza yutong 8
Siyo yuko pale pale tu bali anazidi kutoboaMaajabu ya Watanzania!
Hii Wasafi tv si nimesikia ya Joseph Kusaga?! Au wengine si wanasema ya Makonda?!
Sasa kama kufilisika si atafilisika Kusaga au Makonda?!
Na ikiwa kufilisika atafilisika Kusaga au Makonda; kitakachowafanya WCB warudi kijijini kulima mihogo ni nini?! wataendelea na muziki; au?!
Halafu wapiga ramli zinazohusu kuporomoka kwa Diamond mnaibia watu! Yaani tangu muanze kubashiri kuporomoka kwake; miaka 5 imepita lakini jamaa yupo pale pale!
Aisee mna moyo....
Mno yaan hadi linaboaHuyu "demu" fake sana
Period!
Aibu naona mimiMno yaan hadi linaboa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mangi Kimambi ndio anajua nini cha kusema.
Si busara,si nidhamu kutafuna kitu chochote wakati unaongea na mtu yeyote achilia mbali vyombo vya habari zaidi ya vinne vinavyomhoji.Haipendezi yaani inshort ni tabia mbaya tena chafu sana.Mtazamo wako tu mkuu